GEOBUILD ADA YA TAKA

Sera ya Faragha

Mfumo hukusanya taarifa zinazohitajika kusimamia akaunti ya ada ya taka, ikiwemo jina, namba ya simu, eneo, invoice, malipo na risiti.

Matumizi ya taarifa

Taarifa hutumika kuthibitisha mteja, kuonyesha deni, kupokea malipo, kutoa risiti na kutoa huduma kwa mteja. Hatuuzi taarifa za wateja.

Usalama na uhifadhi

Upatikanaji wa taarifa unadhibitiwa kwa majukumu ya Admin, Collector na Customer. Rekodi za kifedha huhifadhiwa kwa madhumuni ya huduma, ukaguzi na matakwa ya kisheria.

Mawasiliano

Kwa marekebisho au maswali kuhusu taarifa zako, wasiliana na GEOBUILD Supply Enterprises Company Limited kupitia ofisi ya huduma kwa wateja.

Rudi kwenye Customer App